Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kupimwa ni sheria karibia nchi zote kwahiyo hamna kipya hapo hata nye mkienda nchi zingine mnapimwa,nashangaa unavyochukulia serious ishu ya kupima watu wakati ni utaratibu wa kawaida
Ukija huku lazima upimwe, na sio sisi tu, leo hii paspoti ya Mtanzania inasababisha upimwe mara mbili na ufuatiliwe kwa karibu sana, ona dunia yote hamtakiwi...
![]()