Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

Kupimwa ni sheria karibia nchi zote kwahiyo hamna kipya hapo hata nye mkienda nchi zingine mnapimwa,nashangaa unavyochukulia serious ishu ya kupima watu wakati ni utaratibu wa kawaida
Ukija huku lazima upimwe, na sio sisi tu, leo hii paspoti ya Mtanzania inasababisha upimwe mara mbili na ufuatiliwe kwa karibu sana, ona dunia yote hamtakiwi...

2473175_20200801_164531.jpg
 
Wewe mtoa mada hujielewi kabisa nyinyi ndio mlianza kwa kuto tuamini
1.tulikubaliana madeleva wa maroli kimmoja ampime wake akiwa salama apewe cheti kenya mkajifanya wajuaji kwamba madereva wetu muwapime tena na nyinyi mtu hana corona mnasema anayo.
2.mbali na hivyo makawa mna wanyanyasa kanakwamba sisi ndy nchi ambayo chimbuko la corona
3. Mkaamua mtutumie muwakilishi mwenye corona imekula kwenu
Sisi kwetu korona hakuna tunaishi kwa raha na tumesahau uo ujinga wa wageni na ugonjwa wao wakijinga
 
Nye ni wapumbavu na wajinga,no one cares about Kenya.

Mlishazuia magari ya Tz na sisi tukazuia ya kwenu mkaomba poo,nye ni wanafki na mna wivu wa kijinga,juzi mmekuja kwenye mazishi tumewafukuza hatutaki wanafki,mkafunga safari za ndege sisi bila unafki tukataja kabisa kenya airways isiingie tena,hata haijapita 72 hrs mmetengua masharti yenu,tunawaangalia tu mlivyo wajinga
Ukija huku lazima upimwe, na sio sisi tu, leo hii paspoti ya Mtanzania inasababisha upimwe mara mbili na ufuatiliwe kwa karibu sana, ona dunia yote hamtakiwi...

2473175_20200801_164531.jpg
 
Nye ni wapumbavu na wajinga,no one cares about Kenya.

Mlishazuia magari ya Tz na sisi tukazuia ya kwenu mkaomba poo,nye ni wanafki na mna wivu wa kijinga,juzi mmekuja kwenye mazishi tumewafukuza hatutaki wanafki,mkafunga safari za ndege sisi bila unafki tukataja kabisa kenya airways isiingie tena,hata haijapita 72 hrs mmetengua masharti yenu,tunawaangalia tu mlivyo wajinga
Nakuelewa mkuu
Wambiie sisi sio mkoa katika taifa lao sisi nitaifa na hatuyumbishi na wapuuzi hao ,kila taifa lishinde mechi zake pimbi hia hawana maamuzi Tz hatutaki unafki
 
Wanatengeneza scenario za kutupima kila siku,wanafanya maamuzi kwa kukurupuka wakija kuwaza wao ndo wanaoumia

Wanafikiri sisi kiongozi wetu kilaza wakupekwa wanavyo taka wasubili kwanza mpaka nasisi tuamue kuwaruhu kwanza kwao kuna corona wasituletee ugonjwa hapa
 
Kenya lazima muelewa..
Mwanzo hata mimi shule zilipofunguliwa nilikua na hofu kwamba watu watakufa , nilikua najua serikali inaficha takwimu.. lakini mpaka sasa hakuna mwanafunzi ambaye amekufa kwa kifo kinachofanana na corona.

Wala hakuna mwili wa mtu unewahi onekana mtaani kwamba ni corona inatuua..
Mimi nahisi hii corona ni fix tu wazungu wametupiga au uzito inaopewa ni mkubwa zaidi ya inaostahili..

Nyie endeleeni kufunga mipaka siku akili ikirudi itakuwa mmechelewa.. cheki hata UK liverpool walipochukua kombe watu walishangilia mtaani.
Baada ya week uliona ongezeko la wagonjwa wa corona liverpool?

Wakenya acheni kujifanya uzungu sana.
Nakushukuru Mkuu kwa maelezo sawia ila siyo wakenya waache "uzungu" bali ingependeza kusema wakenya waache "Uzwazwa wa kichwani".
 
Kenya lazima muelewa..
Mwanzo hata mimi shule zilipofunguliwa nilikua na hofu kwamba watu watakufa , nilikua najua serikali inaficha takwimu.. lakini mpaka sasa hakuna mwanafunzi ambaye amekufa kwa kifo kinachofanana na corona.

Wala hakuna mwili wa mtu unewahi onekana mtaani kwamba ni corona inatuua..
Mimi nahisi hii corona ni fix tu wazungu wametupiga au uzito inaopewa ni mkubwa zaidi ya inaostahili..

Nyie endeleeni kufunga mipaka siku akili ikirudi itakuwa mmechelewa.. cheki hata UK liverpool walipochukua kombe watu walishangilia mtaani.
Baada ya week uliona ongezeko la wagonjwa wa corona liverpool?

Wakenya acheni kujifanya uzungu sana.
Waangali wamarekani wameandamana na bado wanaandamana vip corona imewapa likozo ila wakenya waelewe sio lazima wao kuja kwetu hatuwataki wanacorona
 
Waangali wamarekani wameandamana na bado wanaandamana vip corona imewapa likozo ila wakenya waelewe sio lazima wao kuja kwetu hatuwataki wanacorona
Sure.. na marekani ni mfano hai.
Walikua na vifo 4000 kwa siku wakiwa kwenye lockdown lakini wameanza kuandamana mambo yako kawaida.. mpaka sasa sidhani kama kuna mtu anajifungia ndani tena..

Halafu wakenya walivyo wanafiki unakuta wanaruhusu nchi yenye wagonjwa milioni waingie kwao kisa ni wazungu ila wanakataa sisi tusiingie

Sasa wamekutana na sisi hatupendi shobo.. kila mtu ashinde mechi zake
 
Waangali wamarekani wameandamana na bado wanaandamana vip corona imewapa likozo ila wakenya waelewe sio lazima wao kuja kwetu hatuwataki wanacorona
Na ningeona wakenya wanaakili japo kidogo kama wangesema kuwa hatutaleta ndege Tanzania mpaka CORONA iishe ili wageni wao wasiwatie hofu.Cha ajabu wanataka kung'ang'ania kuwaleta wageni wao na ndege zao sehemu yenye corona kisha wanawapakia wengeine toka Tanzania hiyo hiyo yenye corona na kuwapeleka makwao.Hao wageni hawana akili ya kujua kuwa Tanzania wasije kuna CORONA ? Hapana,wanajua kuwa Tanzania ni Free from CORONA ila wakenya wanahangaika tu kutuchafua.Ila hawa madogo wa kenya watakaa tu.
 
Covid mnaifanya mtaji wa kibiashara mnafanya kila Kitu mtuharibie mmekutana mtu ambaye hajaribiwi
 
Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
Mbona unakwepa hoja?
Hapa Ni 1.ndege zetu zimezuiwa
2.raia wetu wamezuiwa
Ndege nazo Zina Corona?
Utaratibu wa kupimana si mliuleta wenyewe baada ya kufunga mpaka?kwa Nini usitume kwa abiria wa ndege pia?
 
Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka,
wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi.

Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kitu, wa kufa ajifie na wa kupona apone, sasa ili kuzuia wao kutuletea balaa lao hilo, tukomae kama tulivyofanya kwa mpakani, kwa sasa watafanya mengi ikiwemo kuzuia ndege zetu lakini tusisahau sababu za sisi kuwazuia kuja huku, sio kwamba tuna chuki nao, ila afya yetu ni kipau mbele.

Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
Kenya Airways ibaki huko huko kwenu na ndege zetu zitabaki kwetu..
 
Mbona unakwepa hoja?
Hapa Ni 1.ndege zetu zimezuiwa
2.raia wetu wamezuiwa
Ndege nazo Zina Corona?
Utaratibu wa kupimana si mliuleta wenyewe baada ya kufunga mpaka?kwa Nini usitume kwa abiria wa ndege pia?

Hamna hoja niliyokwepa, tulizuia ndege zote duniani, tumeanza kuachia baadhi kulingana na jitihada za kwao dhidi ya corona, nyie msiokua na jitihada na mliojichokea kisa umaskini mnalazimisha kuingia kwenye mataifa ya watu.
 
Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kit
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mnachokitafuta mtakipata. Mzee baba akiwaambia kila mkenya akiingia TZ aogeshwe ndo mtatia adabu
 
Ukija huku lazima upimwe, na sio sisi tu, leo hii paspoti ya Mtanzania inasababisha upimwe mara mbili na ufuatiliwe kwa karibu sana, ona dunia yote hamtakiwi...

2473175_20200801_164531.jpg
Kati ya UAE na USA nani mwenye akili [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1596175095725.jpeg
 
Back
Top Bottom