Namna ya kutengeneza Pesa kwa kutumia Mawazo

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI)

Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri

Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri.

Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA kuliko kufikiri.

Hii ndiyo sababu inakadiriwa kwamba 4% ya watu wote duniani ndio watu ambao ni matajiri wanaotambulika duniani.

Asilimia 16% wana maisha mazuri ila utajiri wao ni wa kawaida sana kiasi kwamba wanao uwezo wa kula na kunywa na kukidhi mahitaji ya maisha ya kila siku, ila hawana utajiri wa kimaajabu unaotambulika kidunia.

Na asilimia 80% ya wanadamu wote ni wale ambao wanaishi maisha ya kufukuzana na pesa, leo akipata kesho kakosa, asipofanya kazi hata siku 3 tu anaanza kuwa omba omba.

Haya ni maisha ambayo dunia inayapitia lakini chanzo cha haya yote ni matokeo ya AKILI.

Akili ina uwezo wa ajabu sana, akili ina nguvu kubwa sana, akili ina maajabu mengi mnoo, akili ina uwezo mkubwa sana wa kubuni vitu vikubwa vya kimaendeleo.

Inakadiriwa kwamba matajiri kama ALIKO DANGOTE, BILL GATES na wengine waliofanya mambo makubwa..

Hawajatumia zaidi ya 10% ya akili zao, sasa unaweza kujiuliza kwamba kwa maisha uliyonayo leo, utakuwa uneshatumia asilimia ngapi ya akili zako?

Fikiria watu waliogundua vitu vikubwa kama Microsoft, Facebook, Bulb ya umeme, na Internet.

Walikaa na kuwaza kitu kilipofanikiwa maisha yao yakabadilika JUMLA.

Hebu jipe zoezi leo, kaa sehemu tafakari ufikiri kisha jiulize, je ni mfumo gani unaoweza kuubuni ukakusaidia kukuingizia pesa kwa mwendelezo siku nyingi zijazo?

Je, akili yako umeitumia vema kufanya maajabu?

Napoleon Hill anasema unaweza kufikiri na kuwa tajiri.

Na Makirita Amani Anasema Una nguvu za kutenda miujiza.

Jitafakari, tafuta sehemu nzuri ujitafakari hali yako, jifikirie tena uchumi wako wa sasa na wa badae..

Mwisho jisemee Safari ya kutafuta pesa pesa inaendelea, ukiongeza ukubwa wa fikra zako utaweza kufanya maajabu makubwa sana.
 
Hayo maajabu utaweza kuyafanya nje ya CCM labda. Kwetu hapa wajinga ndio mtaji wa wenye nafasi na mamlaka
 
Lakini kweli kabisa maana vikwazo ni vingi sana.

Huku watu wanawatumia Watu kama fursa
 
Kweli lakini vingine vina uhalisia hapo
Labda upate connection lakini kusema kua uwe na mawazo halaf apeche alolo aseee utasota hapo.

Ukiwa na hela ni rahisi sana kupata hela zaidi lakini kama una njaa unaweza kuwa na wazo lako zuri la biashara siku umepata zali la hela kwanza utataka ule ushibe kuja kushtukia umekula hyo hela ambayo ilitakiwa iwe mtaji.
 
Wanaotumia Akili kutafuta pesa ni Waganga,wahubiri na wanasiasa...Tuliobaki tupambane tu hakuna namna.
 
Back
Top Bottom