Namna ya kutengeneza Sambusa

Namna ya kutengeneza Sambusa

Daaaa cmchez hvi haya maujuz mnayatoa wapi jaman we mimi49 na mwenzio Farkhina hv wenzi wenu wanakulagawkwa mama ntilie kwel

nimefundishwa na mamaangu... namshukuru na nampenda mamaangu sana kwa kunipa basic knowledge for a woman and for life...kanifanya mimi niwe mimi....na mwenza wangu inshallah katu hatokula kwa mama ntilie 🙂
 
Last edited by a moderator:
Kwa kusave mda kuna manda tayari zimeshatengezwa waweza kufanya rolls pia na kuweka nyama na vegetable njegere,karoti kwa kutimia manda hizo hizo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jamani salamu zenu wanajukwaa!Naombeni namna ya kutengeneza sambusa kwa kutumia manda zenye umbo la mstatiri(rectangular) hadi kupata lile umbo la sambusa.Karibu.
 
farkhina come zis wei
 
Last edited by a moderator:
hellow yodoki II....mkewang catherine anajua namna yakuandaaa ntakutumia namba yake ili akusaidie
 
  • Mahitaji
  • Unga wa ngano 1/4 kilo
  • Maji ya baridi kiasi
  • Chumvi
  • Mafuta
  • Jinsi ya kutayarisha
  • Changanya unga,chumvi na maji taratibu mpaka ushikamane na utengeneze donge usiwe mlaini wala mgumu.Uwe makini usiweke maji mengi au unga utalowana
Unga wa sambusa.jpg


  • Kataka madonge madogomadogo ukubwa wa nyanya chungu
  • Sukuma hayo madonge utengeneza chapati ndogo ndogo
  • Weka chapati ya mwanzo na ipake kijiko kimoja cha mafuta,weka ya pili na uipake kijiko kingine cha mafuta,endelea hivyo hivyo mpaka uwe umezipandikiza zote.
  • Sukuma hizo chapati ulizozipangilia kutengenza chapati moja kubwa
manda.jpg


  • Pasha chuma au frying pan moto.Ipashe moto hio chapati kubwa pande zote mbili,hakikishahuiivishi bali unaipasha moto kama dakika 2 kila upande na hakikisha moto sio mkali
  • Epua na gawa kutokana na unavyopendelea kuzifunga sambusa aidha mara nne au mara tatu
  • Zichambue manda moja moja na usitenganishe na zifunge vizuri kwenye kitambaa ili zisikauke au kukakama
sambusa.jpg




  • Endelea kufunga sambusa kama kawaida kama ni za nyama,mboga mboga au vingenevyo
 
Back
Top Bottom