Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Karibu mamii,kwa bi mkubwa manda inatengenezwa from scratch sijui zakununua hakuna!Thank u...nlikuwa naitafuta hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mamii,kwa bi mkubwa manda inatengenezwa from scratch sijui zakununua hakuna!Thank u...nlikuwa naitafuta hii..
Ahsante mamii,kwa bi mkubwa manda inatengenezwa from scratch sijui zakununua hakuna!
Unazifunganga na nini?Kuna baadhi wanatumia yai kufungia lakini Gundi ya unga ni nzuri sana pia .Unatengeneza kwa kuchukua unga vijiko vitano vya supu kwenye bakuli,Changanya na maji uwe mzito unavutana kama gundi!Tumia hio kugandisha na usitumie kwa uoga gundi hakikisha unazibana vizuri hasa kwenye pembe.Na muhimu pia ukianza kufunga uhakikisha hakuna uwazi kwa chini.Zangu mbna huwa zinajiachia wakat wa kuzifry?

Yah ni kweli process ni ndefu inahitaji subira lkn si ngumu!!!Mi kwakweli hapa hua naishia kununua kwa mabohora tu....hii kazi kwa kweli
CC farkhina spesho kwaajili yako mamii!!
Zangu mbna huwa zinajiachia wakat wa kuzifry?
Asante sana dah kumbe kazi yenyewe ndo hii?? Ngoja nitajaribu weekend maana duh yaani nilivokuwa natengeneza ni tofauti kabisa na haya maelekezo.
Barikiwa sana