Namna ya kutengeneza Sambusa

Zangu mbna huwa zinajiachia wakat wa kuzifry?
Unazifunganga na nini?Kuna baadhi wanatumia yai kufungia lakini Gundi ya unga ni nzuri sana pia .Unatengeneza kwa kuchukua unga vijiko vitano vya supu kwenye bakuli,Changanya na maji uwe mzito unavutana kama gundi!Tumia hio kugandisha na usitumie kwa uoga gundi hakikisha unazibana vizuri hasa kwenye pembe.Na muhimu pia ukianza kufunga uhakikisha hakuna uwazi kwa chini.
Jinsi ya kufunga sambusa fuata kwenye picha hapo chini
 
Asante sana dah kumbe kazi yenyewe ndo hii?? Ngoja nitajaribu weekend maana duh yaani nilivokuwa natengeneza ni tofauti kabisa na haya maelekezo.

Barikiwa sana
 
asante kwa maelezo haya ngoja nami nitajaribu kupika weekend nione inavyokuwa be blessed
 
Mmmmh balaaa, mi hapo ndio exam ilipo kwangu.
 
Ntajaribu hizi za kutengeneza mana zile za kununua naona hazina ladha
 
Asante mtoa mada pia na kwa picha ngoja leo nijaribu hii kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…