Namna ya kutotoresha na kuatamisha Mayai kwa njia ya Pumba na Mahindi

Namna ya kutotoresha na kuatamisha Mayai kwa njia ya Pumba na Mahindi

Mme Mwenza

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2025
Posts
252
Reaction score
301
Hello wajasiriamali jf
Natumai hamjambo na mnaendlea kupambana kujenga taifa pia uchumi binafsi.
Bila kupoteza mda twende na mada yetu tajwa hapo juu..

VIFAA
  • Pumba
  • Box au ndoo

NJIA
  • chukua pumba na weka ndan ya box kimo cha inch 4 toka chni ya box.
  • weka mayai juu ya hyo pumba ndan ya box huku sehem ilyo chongoka ya yai iangalie chini, na umbali kati ya yai na yai iwe sm 2.5.
  • fukia mayai kwa pumba juu yake hadi kimo cha inch tano kutoka usawa wa yai.
  • Yaache humo ndani ya wiki mbili na wiki ya tatu punguza pumba ili yai lionekane kwa juu.

ZIADA
- Ni vizur kila week kubadili pumba ili kustahimili joto vizur, na joto linatakiwa kuwa nyuzi 35°Centgred had 36°. na pumba lianikwe juani kabla ya kuwekwa kwenye box.

ahsanten na majukum mema
 
Hongera sana Mkuu, hiyo teknolojia tulikuwa tunaitumia miaka ya 90 ambapo maendeleo yalikuwa Chini.

Kama unafuga kibiashara, nashauri jitahidi ununue incubators na facilities nyingine Kwa kupata matokeo makubwa na ya kuendana na uwekezaji wako.

Shukrani Kwa Shule pia
 
ni sawa mkuu ila umesahau kua watu uchumi wanatofautiana namtu haanzii juujuu tu. ndo maana elimu inawekwa wazi wapo walengwa.
 
ni sawa mkuu ila umesahau kua watu uchumi wanatofautiana namtu haanzii juujuu tu. ndo maana elimu inawekwa wazi wapo walengwa.
Ni kweli Mkuu

Japo kama unataka kufuga kibiashara, Taasisi za fedha zinaweza kukuboost Kwa kukuongezea Mtaji

Ni swala la kuwa na write-ups nzuri
 
Ni kweli Mkuu

Japo kama unataka kufuga kibiashara, Taasisi za fedha zinaweza kukuboost Kwa kukuongezea Mtaji

Ni swala la kuwa na write-ups nzuri
Ni sawa mkuu.. Ila kumbe hamna haja yakushare elimu ama ujuz koz watu wapo hatua nyingne
 
Back
Top Bottom