Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
Hello wajasiriamali jf
Natumai hamjambo na mnaendlea kupambana kujenga taifa pia uchumi binafsi.
Bila kupoteza mda twende na mada yetu tajwa hapo juu..
VIFAA
NJIA
ZIADA
- Ni vizur kila week kubadili pumba ili kustahimili joto vizur, na joto linatakiwa kuwa nyuzi 35°Centgred had 36°. na pumba lianikwe juani kabla ya kuwekwa kwenye box.
ahsanten na majukum mema
Natumai hamjambo na mnaendlea kupambana kujenga taifa pia uchumi binafsi.
Bila kupoteza mda twende na mada yetu tajwa hapo juu..
VIFAA
- Pumba
- Box au ndoo
NJIA
- chukua pumba na weka ndan ya box kimo cha inch 4 toka chni ya box.
- weka mayai juu ya hyo pumba ndan ya box huku sehem ilyo chongoka ya yai iangalie chini, na umbali kati ya yai na yai iwe sm 2.5.
- fukia mayai kwa pumba juu yake hadi kimo cha inch tano kutoka usawa wa yai.
- Yaache humo ndani ya wiki mbili na wiki ya tatu punguza pumba ili yai lionekane kwa juu.
ZIADA
- Ni vizur kila week kubadili pumba ili kustahimili joto vizur, na joto linatakiwa kuwa nyuzi 35°Centgred had 36°. na pumba lianikwe juani kabla ya kuwekwa kwenye box.
ahsanten na majukum mema