Namna ya kutumia incubator ya mayai 96

Namna ya kutumia incubator ya mayai 96

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
79
Reaction score
116
Wazee kamwene, jamani mwennu nina ushamba wa matumizi ya hizi mashine za kuangulia mayai, lakini napenda kweli kufuga kuku na mpaka sasa ninao kama hamsini, sasa nikapenda nipige hatua kidogo kwa kupata mashine, kuna jamaangu ameniazima na bahati mabaya nae hajui matumizi yake, aliyekuwa anatumia hayupo, sasa kuna viwaya flani vinanichanganya kuunganisha naogopa nisije bomoa mashine ya watu maybe kwa shot naomba msaada aisee
 
Itafundi umeme,pia uliza jirani mwenye nayo kubali kuwa mshamba kwa muda badae unakua mtalaam
 
Back
Top Bottom