Bwanamaya
Member
- Mar 14, 2017
- 79
- 116
Wazee kamwene, jamani mwennu nina ushamba wa matumizi ya hizi mashine za kuangulia mayai, lakini napenda kweli kufuga kuku na mpaka sasa ninao kama hamsini, sasa nikapenda nipige hatua kidogo kwa kupata mashine, kuna jamaangu ameniazima na bahati mabaya nae hajui matumizi yake, aliyekuwa anatumia hayupo, sasa kuna viwaya flani vinanichanganya kuunganisha naogopa nisije bomoa mashine ya watu maybe kwa shot naomba msaada aisee