Namna ya kuuaga umasikini


Hiyo ya tatu mie ndio inanitia umaskini ...ila poa tuu cha msingi nina burudika na nitafuata hiyo kanuni yako ya kwanza
 
Sawa nikufanya kazi kwa bidii kuepuka ulevi wa sex. Management ya pesa lakini hivi vinaweza vikakufanya uishi maisha flani ya kawaida tu. Lakini ukiongeza mungu na maarifa unakuwa tajiri wew na kizazi chako
 
Wengine tunaombea Uhai/uzima wengine kipaumbele chao ni pesa
Pesa haijawai kuwa kinyume cha uhai hii ni itikadi ya kimasikini ukiona kila inapozungumziwa pesa au utajiri unaleta hoja za kifo ni ukoko wa umasikini uliojaa kichwani na kukomaa.
 
Waafrika weng tunakuwa masikini kutokana na kuzaa bila malengo kisa umri umefika,unakuta Kuna fala kapata pesa ya kula na kupanga anaona aoe
Hakuna haja ya kuwaita waliozaa kuwa ni mafala!!!
 
Kuzaa bila mpangilio ni ujinga haijarishi hakuna kauri za kupetipeti.
Mkuu kwa upande fulani uko sahihi na kwa upande fulani hauko sahihi.
Kwa mfano mimi zamani nilikuwa na mawazo kama yako na nimechelewa sana kuoa.
Yaani tayari nilikuwa na kazi nzuri tu yenye uhakika wa kupata 1m mpaka 1.5m net salary lakini bado nikawa ni muoga wa kuoa kwa kufikiri kwamba pengine nikioa nitachelewa kupata maendeleo.
Basi nilikuwa niko Bachelor lakini matumizi yangu yalikuwa ni kati ya elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku kutegemea siku hiyo nimeamkaje.
Hiyo hali nilikwenda nayo kwa takriban miaka 7 lakini sijaona impact yake kwenye maendeleo,mwaka wa 8 nikaamua nioe nisije kuwa addicted bachelor.
Kwa sababu maendeleo niliyopata ni kujenga nyumba ya kulala tu kitu ambacho hata rafiki zangu waliowahi kuoa mapema pia wana nyumba za kulala kama yangu.
Kwa hiyo kanuni yako inaweza kuwa na mashiko kwa baadhi ya watu.
Kwa mfano mtu anazaa watoto wanne lakini hana uwezo wa kuwapatia basic needs kama kuwapangia vyumba vya kulala,chakula cha shida,mavazi ya shida.
Lakini bado kwa nature ya kitanzania hii formula inakataa kwa sababu wazee wetu wangeifuatisha hiyo kanuni humu wengi wetu tusingezaliwa.
Hata hao matajiri wa dunia kama akina Jack ma walizaliwa katika mazingira magumu maana yake wazazi wao wangekata tamaa kuzaa wasingepatikana hao mabilionea.
Kwa hiyo sidhani kama utajiri una uhusiano na kuzaa.
Au wewe katika maisha yako hujawah kuona kuna watu hawajawahi kuoa wala kuzaa lakini bado wanayumba kimaisha hata kulipia geto mtu anashindwa.
 
Asilimia kubwa ya watu waliokopa pesa benki walirudi nyuma zaidi badala ya kwenda mbele kimaendeleo.
 
H
Ujaelewa hoja, hoja kuzaa bila mpangilio wewe unazungumzia ndoa.

After then kuzaa watoto 20 ikiwa uchumi wako mbovu ni upimbi haijarishi hata hao watoto wote wakija kuwa mabillionaire.

Ifahamike hatuwezi kuwasema wazazi wetu kwasababu maadiri yashachukua nafasi yake in real sense wazazi wengi wamefanya watoto wao waishi katika msoto sana mzazi hana maisha anazaa watoto 12 Circle ya umasikini kwenye familia kama hii uzito wake simdogo vyema tukaambiana ukweli sisi wazazi vijana maana tukiambiana teyari yashatokea tutaanza Mungu kapanga Mungu unakufuru upuuzi hakuna kufivhana kipimbi bana.

Mtoto anaanza maisha ana mzigo wa kuhudumia wadogo zake 5 wazazi wagonjwa yeye hajui future yake na yeye anawatoto Shits life basi ishatosha kwa wazazi wetu tunaweheshimu maadiri yashachukua nafasi yake ila mzazi wewe ambae nakwambia leo kabla hujafanya upimbi usifanye ujinga.
 
Haya mkuu ngoja tujaribu hiyo idea.
Maana waswahili wanasema jitihada haishindi kudra.
 
Haya mkuu ngoja tujaribu hiyo idea.
Maana waswahili wanasema jitihada haishindi kudra.
Matumizi mabaya ya neno 'Kudra' kwamantiki hiyo basi sawa na kusema kufanya ibada hakuna maana kwasababu kuna 'kudra'...kufanya kazi ni kujichosha tulale tu maana kuna 'kudra'

_Once tumeumbwa Mungu katuacha huru tufanye visababishi yeye kwanafasi yake anapitisha (kuamua iwe) kulingana na kisababishi ulichokifanya wewe.

Concepty ya Mungu watu wengi wasiojua wanaitumia kama mwamvuri wakujikinga.
 
Matumizi ya neno kudra yako hivi;
Kwa mfano mimi nimepambana sana na mbinu zote zinazoongelewa humu nimezipitia lakini bado sijatajirika,nakwenda mbele hatua 5 narudi nyuma hatua 10.
Hapo ndipo matumizi ya neno "Kudra" linapokuja.
Matumizi mabaya ya neno 'Kudra' kwamantiki hiyo basi sawa na kusema kufanya ibada hakuna maana kwasababu kuna 'kudra'...kufanya kazi ni kujichosha tulale tu maana kuna 'kudra'
 
Matumizi ya neno kudra yako hivi;
Kwa mfano mimi nimepambana sana na mbinu zote zinazoongelewa humu nimezipitia lakini bado sijatajirika,nakwenda mbele hatua 5 narudi nyuma hatua 10.
Hapo ndipo matumizi ya neno "Kudra" linapokuja.
Yes nahiyo ndio 'Kudra' ilivyo ila umeiweka si mahala pake ambapo inaleta picha ya kukatisha tamaa.

Kudra ni maamuzi ya Mungu na sisi hatuna uwezo nayo hivyo tunavyozungumzia mioango,mikakati, malengo tuStrict na hayo nafasi pekee tulitopewa katika Kudra ni kuaomba Dua sasa kwamantiki hii pale ulitakiwa uwandika 'Tuombe Mungu' ndio ingekuwa sahihi.
 
Hahahaha sawa mkuu nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…