Namna ya kuuaga umasikini

Namna ya kuuaga umasikini

Zote mlizotoa sio mbinu. Mbinu zipo 3 tu.
1. Fanya kazi kwa bidii sana
2. Weka malengo na hakikisha unayatimiza
3. Kuwa na discpline ya pesa
Hivi hii "BIDII" huwa ni nini hasa mkuu??
Maana ya bidii kinagaubaga ni nini...nahisi watu wengi hatuifahamu maana yake halisi hebu tujuze mkuu
 
Unanyota ya umasikini.
Ndio hvyo mkuu.
Utajiri unaouona kwa wafanya biashara matajiri wa kihindi na wachina hawakuanza wao bali walianzisha babu zao hao wanaendeleza gurudumu.
Mimi binafsi siwezi kujiona tajiri kama ndugu zangu hawana uhakika wa milo 3 kwa siku.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu hawamudu kuwalipia watoto wao ada.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu hawana uhakika wa pesa ya matibabu.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu hawana nyumba nzuri za kuishi.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu wa kijijini wanakosa hata pesa ya kununua chumvi na mafuta ya koroboi.
Kwa hiyo inategemea mtu anawazaje kuhusu utajiri
 
Hujanielewa umekurupuka,lengo sio kuwajengea lengo ni kuwapatia elimu iliyokufanya wewe ufanikiwe ili na wao watafute hayo mafanikio.

Ubinafsi wa watu weusi ndio unaofanya tusitajirike unakumbatia kila kitu peke yako ukifa ndio mwisho wa mchezo wanao wanaanza upya tena from the scratch.
Unataka ujengee nyumba kabira lenu lote utafikaje popa.
 
Hujanielewa umekurupuka,lengo sio kuwajengea lengo ni kuwapatia elimu iliyokufanya wewe ufanikiwe ili na wao watafute hayo mafanikio.
Ubinafsi wa watu weusi ndio unaofanya tusitajirike unakumbatia kila kitu peke yako ukifa ndio mwisho wa mchezo wanao wanaanza upya tena from the scratch.
Mkuu una pont ila ilo kuwa applicable inabidi Generation kadhaa zipite sio kwasasahivi ambapo baadhi wa wazee waliokuwa zama za mkoloni na vita ya dunia wako hao ukifanikiwa na kutaka kuwakomboa kifikra wanaona weevipi wanakurushia jini wa bukujero kesho tunakuona unaokota makopo.

Fikra za jamii yetu nzito sana inahitaji muda kama kina sisi angalau tumebahatika kupata platform kama hizi kidogo ndio tunafungua macho.
 
Maoni ya wachangiaji yanafurahisha sana,karibu wote wametoa maoni yao kwa kuweka mitazamo ya kuwa Tajiri.

Wazo la mtoa mada ni namna ya kuondokana na umasiki na angalau kuwa na kipata na sio utajiri.

Maana mtu kuwa tajiri sio kitu rahisi maana 90% ya matajiri wengi duniani ni urithi-tuchangie kulingana na mawazo ya mtoa mada!.
 
Ooh hapo nimekupata mkuu umeongea point.
Sometimes watu maskini huwa wana jazba hata kwa mambo yenye faida kwao ambayo ni msaada kwao wenyewe,hii ni changamoto nzito.
Mkuu una pont ila ilo kuwa applicable inabidi Generation kadhaa zipite sio kwasasahivi ambapo baadhi wa wazee waliokuwa zama za mkoloni na vita ya dunia wako hao ukifanikiwa na kutaka kuwakomboa kifikra wanaona weevipi wanakurushia jini wa bukujero kesho tunakuona unaokota makopo.

Fikra za jamii yetu nzito sana inahitaji muda kama kina sisi angalau tumebahatika kupata platform kama hizi kidogo ndio tunafungua macho.
 
Nakubaliana na wewe lakini hapo kwenye uzaaji nafikiri ungekebisha kidogo kiongozi.
 
Hivi hii "BIDII" huwa ni nini hasa mkuu??
Maana ya bidii kinagaubaga ni nini...nahisi watu wengi hatuifahamu maana yake halisi hebu tujuze mkuu
Diligence persuasion
Fanya bila kukata tamaa
 
ili kuwa tajiri selfa made inahitaji muda na focus. Maybe From 13 years focus ikiwa kutafuta pesa na ku save kipato chako kikawa kinakua gradually ukifikia 50's wewe ni tajiri. Na hii ndio siri matajiri wengi ni darasa la 7! Huwezi kuwa tajiri ukifata mfumo wa shule.

It takes more than 30 yrs to make it to the top! Sasa ubaya kijana akifika 30 ndio kamaliza masters anaanza hustling za mtaani maana kazi hapati 🤣🤣🤣🤣🤣 akifika 50 ana kajumba ka vyumba vitatu majukumu kibao hadi anazeeka na kufa hela ni ya majukum tu.

Ila kwa wale wajanja anaweza akamtia mtoto kwenye mfumo mapema tu kijana akimudu kutulia vizuri biasharani anaokoa jahazi kabisa. Nae akileta mjukuu anamuweka kwenye mfumo ndio kabisaa anamalizia mchezo.
 
Ndugu yangu kuna watu wamefanya yote hayo lakini bado ni maskini.
Kama amefanya yote 100% na bado masikini sasa hapo ni maamuzi ya Mungu ndio kaamua maana naamini sisi tunapambana kama binadamu kutengeneza sababu ya jambo ila ilo jambo ataamua liwe Mungu kutokana na juhudi zako ila pia anaweza asiamue litokee.

Kifupi
_unanfasi kubwa ya kufa tajiri au masikini endapo unapambana kwa kufata njia sahihi

_unanafasi ya kufa masikini tu endapo hutazingatia misingi yoyote wewe just kupata pesa ya kula basi.

Kwahiyo njia ya kwanza ina matokeo mawili (utajiri/umasikini) ila njia ya pili ina tokeo moja tu (Masikini)
 
Back
Top Bottom