Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Biashara yoyote ni ubunifu.
Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje.
Swali; utaanzaje anzaje?
Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi yake.
Itategemea wewe unataka uingie katika biashara ipi.
Kwa anayeanza, anaweza kuanza hivi :-

- Sajili jina la biashara yako/kampuni i.e Eqn x Supplies
- Tengeneza website i.e www.eqnxsupplies.co.tz
- Buni 'Brand' yako ,labda unashughuika na nguo i.e eqnx
- Wasiliana na kiwanda cha nguo, china naona wako vizuri idara ya mauzo
- Ingieni makubaliano (MOU), wakutengenezee bidhaa zenye brand ya jina lako; wewe utaandaa specs zako.
- Lipia mzigo
- Pokea mzigo, na uuze kwa brand yako i.e eqnx