Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka.
Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka?
Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako.
Ajiri wasambazaji; baada ya muda utaanza kuona mafanikio.
Usisahau kunitumia ata soda.