Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Branding inahitaji akili na budget kuweka kutengeneza brand awareness Ili wateja wakienda kwa mangi Huwa wanajua kabisa kuwa wanaenda kununua nini ni bidhaa chache sana ambazo hazihitaji marketing ya kutosha na pia Huwa inataka mtaji mkubwa mfano kiberiti,unga,mafuta ya kula na bidhaa zingine zifananazoKwako changamoto ni nini?
Nyingine zote lazima upige kazi haswaa na kuumiza kichwa