Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
unatoa wazo la kiwanda na unaomba choda!,mkuu tukufikiriaje ama unatufikiriaje...?Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka.
Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka?
Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako.
Ajiri wasambazaji; baada ya muda utaanza kuona mafanikio.
Usisahau kunitumia ata soda.
unatoa wazo la kiwanda na unaomba choda!,mkuu tukufikiriaje ama unatufikiriaje...?
Wazo zuri sana, na kama likifanyika kwa ukubwa inaweza kupelekea kila mwenye duka kuwa na hii bidhaa sokoni.Katika hivyo vitu utakavyo fikiria ukiona mtaji itakuwa shida basi tengeneza hata pilipili tamu (japo inawasha) sambaza kwa wauza chips na wauza kuku wauza mihogo
Hakikisha pilipili yako imekamilika viungo vyote yaan inanukia na inanoga
Kuna jamaa anauza chips huko newala ila kuna wateja wasipokuta pilipili yake hawanunui.
Me musisahau kunitumia ya juisi
Vipo kuhusu 'expire date'; tupe ujuzi zaidiKatika hivyo vitu utakavyo fikiria ukiona mtaji itakuwa shida basi tengeneza hata pilipili tamu (japo inawasha) sambaza kwa wauza chips na wauza kuku wauza mihogo
Hakikisha pilipili yako imekamilika viungo vyote yaan inanukia na inanoga
Kuna jamaa anauza chips huko newala ila kuna wateja wasipokuta pilipili yake hawanunui.
Me musisahau kunitumia ya juisi
hapa mkuu inabidi kufuatilia wale wenye viwanda vikubwa wanatumia njia gani mpka zinakaa muda mrefu ila hvi hv kawaida inakaa bila kuharibika hadi siku 3 na kama utahifadh kweny friji inakaa zaidi ya siku hizoVipo kuhusu 'expire date'; tupe ujuzi zaidi
sawa mwana viwanda...💪Nimetoa wazo rafiki, na unaweza kulitekeleza ata ukiwa na mtaji mdogo; ni tofauti na wale wanao uza mawazo yao, bila kujua wazo bila mtaji ni sawa na ndoto tu.
Kuhusu soda, tunaamini unavyotoa ndivyo unavyobarikiwa zaidi, au sio 😀
Nashauri pia ni vizuri kupata ujuzi/uelewa SIDOhapa mkuu inabidi kufuatilia wale wenye viwanda vikubwa wanatumia njia gani mpka zinakaa muda mrefu ila hvi hv kawaida inakaa bila kuharibika hadi siku 3 na kama utahifadh kweny friji inakaa zaidi ya siku hizo
Usikubali kufa bila ata kumiliki kiwanda cha kutengeneza mishikaki 😀sawa mwana viwanda...💪
Muhimu kuingia mzigoniAll the best
Mkuu sikukatishi tamaa lakini sio mserereko hiviTembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka.
Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka?
Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako.
Ajiri wasambazaji; baada ya muda utaanza kuona mafanikio.
Usisahau kunitumia ata soda.
Preservatives zinauzwaVipo kuhusu 'expire date'; tupe ujuzi zaidi
Kuna baadhi ya vitu nimefanikiwa kwenye hiloMkuu sikukatishi tamaa lakini sio mserereko hivi
Kwako changamoto ni nini?Mkuu sikukatishi tamaa lakini sio mserereko hivi
Hilo ni la muhimu, ukishakuwa na bidhaa, tafuta watu wa masokoIshu nikuweza kuzalisha bidhaaa yoyote unatoboa
Tupe ingredients ya hiyo pilipiliwasipokuta pilipili yake hawanunui.