Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Baada ya kushinda Kesi ya Uongo ya Mauaji waliyobambikiwa na Serikali ya CCM ili kuwakomoa, Wafungwa hao wa Kisiasa waliorundikwa Jela kwa miaka mitano wanahitaji misaada ya kibinadamu ili waweze kuendana na hali halisi ya maisha kama binadamu wengine waliokuwa Uraiani.
Namba ya kupokea michango imewekwa na ina jina la Mhanga George Sanga mwenyewe
Miongoni mwa Wachangiaji wa Mwanzo kabisa kujitokeza yumo Sativa, Mkimbizi wa Kisiasa aliyepangwa kuuawa na wanajifanya wenye Nchi kabla ya Mungu kuingilia kati na kukataa mauaji yake ya kishamba, Wauaji wake wote wametajwa hadharani ila kwa vile walitumwa hawataguswa, lakini Mungu hatowaacha.
Mkimbizi Sativa amechangia kitita cha hela ya madafu mil 1
Mungu Ibariki Chadema.