Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

Huwa mwanzoni mwa nyuzi zako najizuia eti sisomi yote,lakini kadili nishukavyo huwa natamani iendelee zaidi.
Upekee wako ni kama unaandika uhalisia(siyo c&p).Nashindwa kukuelewa hizi 'connection' za nyuzi unazipataje??
Kwani weni jini au jiniaz?
Lakini nikifatilia jinsi unavyokuwa active katk majukwaa mbalimbali naona kama upo kwa shem vile(ila sorry)
AU basi kama unazo mishe/kazi maalum tupe pia connection! cc ROBERT HERIEL
 
Hivi kwanini watu wa Dar hua mnajiona ndio watu wajanja na mlioyapatia maisha kuliko watanzania wote..?😆😆😆

😀😀😀

Kwa sababu ndio tunaishi Tanzania Mkuu😀😀

Dar es salaam ni Kama sebule kwenye nyumba.
Huko mnakoishi ni chumbani wengine stoo😀 wengine jikoni😀

Ukishafika DSM tayari umeshawaona Watanzania kwani hakuna kabila ambalo hutolikuta.
Ni Kama Marekani, ukifika marekani ndio ushafika Duniani.
 
Hilo Ni funzo la jinsi ya kua mtoto wa mjini/mjanja

Ili kufaulu mjini lazima uwaze different . Na ukibadilisha ukijiji wako na kuwa umjini hautona fursa , coz utawaza kama wao.
Wanaofanikiwa katika nchi yoyote ni ma-foreigner , coz anawaza different ya wakazi waliopo.
Kanuni ya msingi ni kutokumsahau MUNGU

Nawapa mfano : Wahindi na Wachaga hawabadiligi tamaduni/tabia anapo badilisha location, Na ndio moja kati ya siri za ushindi
 
Ni kweli bwana ukiamua kuwa bepari uwe na hulka za bepari, mara nyingi watu hawa hukosa huruma kabisa ukimlilia shida yeye anakulilia hela.
 
Ni kweli bwana ukiamua kuwa bepari uwe na hulka za bepari, mara nyingi watu hawa hukosa huruma kabisa ukimlilia shida yeye anakulilia hela.
Bwana Heriel, mimi nafit kwenye hicho kipengele cha kutopenda kutembeleana. Sipendi kutembelea ndugu, lakini wao wanakuja kwangu. Sasa nalaumiwa sana huku nikitajwa kuwa nina tabia mbaya, kwani ninachofanya sio utamaduni wetu! Wengine wamefikia hatua hata kuongea na mimi hawataki! Hali hiyo inanihuzunisha sana, sasa nifanyeje ili kurudisha uhusiano baina yetu?
 
Oyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…