Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari


Tembelea ndugu Ila sio mara Kwa mara.
Kutokutembelea ndugu ni tabia mbaya hasa Kama mnaishi karibu karibu
 

Ndio ndio Mkuu
 
Tumia kanuni ya "Tupeane"

Ukinipa penzi nitakupa penzi

Ukinipa pesa nitakupa pesa

Kama ni pesa Kwa penzi basi zipo pisikali zinazojiuza Kwa bei Sawa na bure huko mitandaoni na viunga vya jiji. Usikubali kulaliwa.
🤣😂🤣😅
 
Welcome jiji kuu lenye kilanaina ya mchaka mchaka, inategemea utakavyo ukimbiza..
 
Wajanja walishaona hiyo fursa.
Tulishakaa mezani.
Mikataba ishafungwa.
Sasa tunakula mema ya nchi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…