Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari


Noma sana
 
Kanuni zangu mjini hapa nilipo ila nilipigwa za uso welcome Town , na mishe zangu za kutoka Kishumundu / ya singida nkataka niyalete border Kubwa kuliko zote, .

Utanashati.
Smart kichwani akili mingi ...
Kuchanganua na kupambanua mambo.
Kuzungumza ya msingi /kuzungumza kulingana na mazingira ...

Huwa nawaambia wanangu wape wanachotaka update unachotaka ..
Be creative mazeee kila nyanja ..

Kingine kauli ya maskini jeuri mjini utapotea utabaki kama ulivyo .. jishushe Ili Hali ukiwa na target zako ..

Mjini hujikwezi unakwezwa ... Ishi KWA akili
 
Duuuh, mpaka hapo Dar sipawezi acha nibaki zangu huku huku Inshamba nilidhike na maisha ya kula viazi vya kuchomwa kwa juice cola ya mia (100)
Mkuu usichachawe na hizi stori za mitandaoni za watu wa dar..πŸ˜„

Wengi wa hawa wanaojiita wajanja wa dar, mabepari, wafanyabiashara, ma taikun, ma alwatan wa mjini, wapiga dili nk kiuhalisia wanaishi maisha magumu kinoma hapo mjini! Ukisoma humu utadhani wote wanaishi palm village kumbe asilimia kubwa wamepanga mabanda ya uani vichochoroni huko usiku mbu wanawapiga balaa. Na ndio maana kamwe hawawezi kukubali uwatembelee huko dar wanakoishi maana ni aibu.. πŸ˜†

Cha ajabu ukimwambia aje mkoa kuna fursa anakujibu "mimi siwezi kuhama dar, dar ndio kila kitu, dar ndio tanzania, dar mzunguko mkubwa wa hela..!" πŸ˜† Sasa unajiuliza huo mzunguko unakusaidia nini wakati kijijini kukiwa na msiba unaomba tukutumie nauli..πŸ˜€

Mimi watu wa dar mmenishinda kwakweli πŸ™Œ
 
Maisha ya show off mimi Kwa kweli hapana!

I am not living to impress people.
 
Kwa wastani yote uloandika kwa mtu ambae yupo honestly and matured enough psychologically hapaswi kuyafanya kabisa!

Yani ni kinyume kabisa na inavyopaswa kufanyika.
 
Kila unayekutana nae mjini na ukafanya nae mazungumzo make sure ubamwacha na kitu, ifikie hatua aseme dogo ,mkuu Kiongozi Nipatie namba YAKO au Chukua namba yangu Tufanye Mawasiliano zaidi,
Jisomee Sana Sana Sana , Jifunze mila na tamaduni za sehemu mbalimbali, mitindo ya Maisha , Kuwa na stori mingi alafu za kweli , chokoza mada kaa kimya sikiliza , leadership skills develop...

Nipe nikupe huwa nawaambia vijana Toa nyuchi KWA dyudyu ..

Pesa KWA pesa . Ova .


Umeniongezea vitu kwenye mtindo wangu wa Maisha .

My namesake
 
ROBERT HERIEL

Hili andiko umelitendea haki. Tufanye mpango uandike presentation. Watu waje wasikilize kwa kiingilio tupige mahela.

Nitakuwa meneja wako. Ama unasemaje?
 
Usisahau kujipongeza hata kizushi.
Usisahau kusali na kumshukuru Mungu hata kwa magumu unayopitia. Mjini ni suala la muda.
Busara zitakuua Wewe maroon7.

Maisha bila Mungu muumba mbingu na nchi hayana thamani. Naungana nawe 100%
 
Sad truth maisha magumu Kila sehemu kama Tanzania almost wakazi wote tunafanana maisha tofauti location tu. Mimi nateseka nikiwa huku kwetu Namtumbo.
 
Hakika umenena vyema, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Sasa sisi watu wa Kinyanambo tumewakosea nini mkuu. Unaujua uchumi wa hapa
. Kuwa na adabu eboo(joking)
[emoji23][emoji23][emoji23]Upo Kinyanambo c au makwawa!!
Mitambo sana kupita kinyanambo
 
Usiishi mjini hujui kuendesha Gari nyau wewe[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…