Namna ya kuweza kutunza mshahara wako ukutane na wa mwezi unaofuata

Chishako1994

Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
7
Reaction score
8
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi yao pia wanalalamikia suala hilo hilo.

Sababu zinazopelekea kuisha kwa mishahara kabla ya mwezi kuisha ni;
1. Mahitaji mengi kuliko kipato chako
2. Kuwa tegemezi kwa watu wengi
3. Kutokuwa na chanzo kingine cha kukuwezeshea kipato
4. Kutokuwa na bajeti ya kueleweka

Kwahiyo, kutokana na kutozijua sababu Kama hizo waajiriwa wengi huanza kuzichukia kazi za kusubiria mshahara mwisho wa mwezi na kuamua kujiajiri wenyewe.

Hivyo basi, fanya yafuatayo ili uweze kubaki na mshahara wako mpaka mwezi uishe

1. Punguza utegemezi kutoka kwa watu wengi. Hapa watu wengi hasa ukiajiriwa unaonekana ndio una hela kuliko watu wengine katika familia, hivyo huna budi kupunguza wanaokutegemea ubaki na wake wa lazima kama vile mke na watoto pamoja na kushirikiana na ndugu wengine kuwatunza wazazi wenu na sio wewe pekeyako.

2. Panga bajeti ya matumuzi yako ya lazima kabla ya kuupokea mshahara ili uepishe matumizi yaliyi nje ya bajeti.

3. Tafuta namna nyingine ya kipato tofauti na mshahara wako, mfano kama una mke au mme mfungulie hata genge la matunda,atakusaidia hata katika masuala ya nauli na chakula. Au Kama una nafasi ya kufuga wanyama na ndege fanya ivo.

4. Kubali kuwa mtu wa kawaida sana, hapa unatakiwa kuepuka kuiga maisha ya watu wengine, wewe ishi kawaida tu.

Kwa kuhitimisha ningependa kutoa ushauri kwa waajiriwa wenzangu kuwa hatuna budi kujituma sehemu zetu za kazi na kujiongezea sifa nzuri kwa watu maana hujui kesho yako itakuwaje, huenda ukapandishwa cheo, au sifa zako zikawavutia wengine kukuhitaji na kukupandishia mshahara.
 
Tatzo hata ukipanga bajet kuna watu pia Wana baki na Negative, Assume
[emoji117]Mtu anapokea take home laki 5
Na anafamilia na watoto
[emoji117]Chakula kila siku 10,000x30=300,000
[emoji117]Kodi ya landlord chumba na sebure=let's say 100,000
[emoji117]Nauli kila siku 2,000x30=60,000
[emoji117]Mengineyo kazini chai 1000 kila siku, vocha na emergency nyngnezo watoto kuugua mke kusuka Wazazi nyumbani,mchepuko, bia kidogo, umeme,maji duhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Angalia hapo matumizi tu ya muhimu yashazidi laki 5 na kuzidi

Zamani Wazazi walikuwa wanasema mtoto wetu kapata Kazi kaoa ametusahau,atakuwa amerogwa tu huyo mwanamke kumbe masikini anaogopa hata kupiga simu kuwajulia Hali sababu hana kitu
 
Asante sana kwa wazo lako, happy, hoja Ni kwamba lazima.uishi kama mtu wa kawaida, panga bajeti ya kawaida ambayo kwa hakika utaweza kusave mahitaji muhimu kama kula.n.k TU. Mengine acha yakupite sio kazima kula ghali
 
Tatzo hata ukipanga bajet kuna watu pia Wana baki na Negative, Assume
[emoji117]Mtu anapokea take home laki 5
Na anafamilia na watoto
[emoji117]Chakula kila siku 10,000x30=300,000
[emoji117]Kodi ya landlord chumba na sebure=let's say 100,000
[emoji117]Nauli kila siku 2,000x30=60,000
[emoji117]Mengineyo kazini chai 1000 kila siku, vocha na emergency nyngnezo watoto kuugua mke kusuka Wazazi nyumbani,mchepuko, bia kidogo, umeme,maji duhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Angalia hapo matumizi tu ya muhimu yashazidi laki 5 na kuzidi

Zamani Wazazi walikuwa wanasema mtoto wetu kapata Kazi kaoa ametusahau,atakuwa amerogwa tu huyo mwanamke kumbe masikini anaogopa hata kupiga simu kuwajulia Hali sababu hana kitu
Umeua
 
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi yao pia wanalalamikia suala hilo hilo.

Sababu zinazopelekea kuisha kwa mishahara kabla ya mwezi kuisha ni;
1. Mahitaji mengi kuliko kipato chako
2. Kuwa tegemezi kwa watu wengi
3. Kutokuwa na chanzo kingine cha kukuwezeshea kipato
4. Kutokuwa na bajeti ya kueleweka

Kwahiyo, kutokana na kutozijua sababu Kama hizo waajiriwa wengi huanza kuzichukia kazi za kusubiria mshahara mwisho wa mwezi na kuamua kujiajiri wenyewe.

Hivyo basi, fanya yafuatayo ili uweze kubaki na mshahara wako mpaka mwezi uishe

1. Punguza utegemezi kutoka kwa watu wengi. Hapa watu wengi hasa ukiajiriwa unaonekana ndio una hela kuliko watu wengine katika familia, hivyo huna budi kupunguza wanaokutegemea ubaki na wake wa lazima kama vile mke na watoto pamoja na kushirikiana na ndugu wengine kuwatunza wazazi wenu na sio wewe pekeyako.

2. Panga bajeti ya matumuzi yako ya lazima kabla ya kuupokea mshahara ili uepishe matumizi yaliyi nje ya bajeti.

3. Tafuta namna nyingine ya kipato tofauti na mshahara wako, mfano kama una mke au mme mfungulie hata genge la matunda,atakusaidia hata katika masuala ya nauli na chakula. Au Kama una nafasi ya kufuga wanyama na ndege fanya ivo.

4. Kubali kuwa mtu wa kawaida sana, hapa unatakiwa kuepuka kuiga maisha ya watu wengine, wewe ishi kawaida tu.

Kwa kuhitimisha ningependa kutoa ushauri kwa waajiriwa wenzangu kuwa hatuna budi kujituma sehemu zetu za kazi na kujiongezea sifa nzuri kwa watu maana hujui kesho yako itakuwaje, huenda ukapandishwa cheo, au sifa zako zikawavutia wengine kukuhitaji na kukupandishia mshahara.
Uko sahihi. Ila namba 4 na 4 ndio msingi mkubwa zaidi.
 
Hapo No 4 ndio suluhisho la kila kitu. No 1 - 3 yanaisha ukiwa na bajeti.
Bajeti itakuwezesha kubalance matumizi kulingana na kipato. Hata savings utafanya japo kidogo
Bajeti ikibana utapunguza wategemezi, hautawaonea aibu hata kidogo maana sababu unazo na familia yako inaziona
Bajeti ikizidi kubana licha ya kupunguza wategemezi na matumizi, utatafuta chanzo kingine cha mapato

Kama unapata laki 5 jua kuwa kuna mtu anapata laki 4 na anaishi. Kwa hiyo unaweza kuishi kama yeye na ukasave laki 1. Hautaishi hivyo milele kwani hiyo laki unayosave baada ya muda utaitumia kuongeza kipato chako. Tatizo hatuna subira
 
Tatzo hata ukipanga bajet kuna watu pia Wana baki na Negative, Assume
[emoji117]Mtu anapokea take home laki 5
Na anafamilia na watoto
[emoji117]Chakula kila siku 10,000x30=300,000
[emoji117]Kodi ya landlord chumba na sebure=let's say 100,000
[emoji117]Nauli kila siku 2,000x30=60,000
[emoji117]Mengineyo kazini chai 1000 kila siku, vocha na emergency nyngnezo watoto kuugua mke kusuka Wazazi nyumbani,mchepuko, bia kidogo, umeme,maji duhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Angalia hapo matumizi tu ya muhimu yashazidi laki 5 na kuzidi

Zamani Wazazi walikuwa wanasema mtoto wetu kapata Kazi kaoa ametusahau,atakuwa amerogwa tu huyo mwanamke kumbe masikini anaogopa hata kupiga simu kuwajulia Hali sababu hana kitu
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa najaribu kwa nguvu sana kutotumia elfu kumi kwa siku,lakini huwa inashindikana kabisa.
Sio kujiendekeza kabisa.
 
Kutotumia elfu kumi kwa siku otherwise uwe vijijin Sana ya ndan ndani Sana na unaish nyuma ya shule
 
Hapo No 4 ndio suluhisho la kila kitu. No 1 - 3 yanaisha ukiwa na bajeti.
Bajeti itakuwezesha kubalance matumizi kulingana na kipato. Hata savings utafanya japo kidogo
Bajeti ikibana utapunguza wategemezi, hautawaonea aibu hata kidogo maana sababu unazo na familia yako inaziona
Bajeti ikizidi kubana licha ya kupunguza wategemezi na matumizi, utatafuta chanzo kingine cha mapato

Kama unapata laki 5 jua kuwa kuna mtu anapata laki 4 na anaishi. Kwa hiyo unaweza kuishi kama yeye na ukasave laki 1. Hautaishi hivyo milele kwani hiyo laki unayosave baada ya muda utaitumia kuongeza kipato chako. Tatizo hatuna subira
Shukran sana ndugu
 
Tatzo hata ukipanga bajet kuna watu pia Wana baki na Negative, Assume
[emoji117]Mtu anapokea take home laki 5
Na anafamilia na watoto
[emoji117]Chakula kila siku 10,000x30=300,000
[emoji117]Kodi ya landlord chumba na sebure=let's say 100,000
[emoji117]Nauli kila siku 2,000x30=60,000
[emoji117]Mengineyo kazini chai 1000 kila siku, vocha na emergency nyngnezo watoto kuugua mke kusuka Wazazi nyumbani,mchepuko, bia kidogo, umeme,maji duhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Angalia hapo matumizi tu ya muhimu yashazidi laki 5 na kuzidi

Zamani Wazazi walikuwa wanasema mtoto wetu kapata Kazi kaoa ametusahau,atakuwa amerogwa tu huyo mwanamke kumbe masikini anaogopa hata kupiga simu kuwajulia Hali sababu hana kitu
Umemaliza mkuu.
 
Eboo! lipeni watu mishahara inayokidhi, siyo kuleta ujanja ujanja......watumishi wananyanyasika sana, kama hamuwezi ondokeni basi wengine tuongoze, mbona mnakuwa ving'anga'nizi sana hadi kutwanga watu wanaodai katiba mpya virungu na kesi za ugaidi juu..
 
Back
Top Bottom