Tatzo hata ukipanga bajet kuna watu pia Wana baki na Negative, Assume
[emoji117]Mtu anapokea take home laki 5
Na anafamilia na watoto
[emoji117]Chakula kila siku 10,000x30=300,000
[emoji117]Kodi ya landlord chumba na sebure=let's say 100,000
[emoji117]Nauli kila siku 2,000x30=60,000
[emoji117]Mengineyo kazini chai 1000 kila siku, vocha na emergency nyngnezo watoto kuugua mke kusuka Wazazi nyumbani,mchepuko, bia kidogo, umeme,maji duhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Angalia hapo matumizi tu ya muhimu yashazidi laki 5 na kuzidi
Zamani Wazazi walikuwa wanasema mtoto wetu kapata Kazi kaoa ametusahau,atakuwa amerogwa tu huyo mwanamke kumbe masikini anaogopa hata kupiga simu kuwajulia Hali sababu hana kitu