Namna ya kuzuia wembamba wa kupitiliza

Kula vizuri halafu kilasiku jioni pata castle light 2 baridi.
 
[emoji23][emoji23]

Nilikua na 74 now nina 69, lengo nifike 65.
Sasa kilo 4 si unauwezo was kuzikata kwa masaa tu....Kama wanavyofanya mabondia pindi wanapokutwa uzito umezidi siku ya pambano...
 
Sasa kilo 4 si unauwezo was kuzikata kwa masaa tu....Kama wanavyofanya mabondia pindi wanapokutwa uzito umezidi siku ya pambano...
Wanazikata kwa mazoezi? Kama ni mazoezi mi ni mvivu siyawezi
 
Vitu gani umeacha kula?!
Sili wali mweupe nakula brown rice mara chache sana ikitokea nimeutamani....ugali, soda, vyakula vya mafuta, sukari, nyama...hivyo vyote nimepumzika
 
Mkuu wakikupa msaada nitag na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…