Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Muongo ww[emoji23][emoji23]
Nilikua na 74 now nina 69, lengo nifike 65.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo ww[emoji23][emoji23]
Nilikua na 74 now nina 69, lengo nifike 65.
Kwanini?Muongo ww
Kilo 5 umepunguza baada ya muda gani?!Kwanini?
Mwezi sasa, ningekua nafanya zoezi kwa bidii ningepungua zaidi ya hapo ila nafanya mara chache.Kilo 5 umepunguza baada ya muda gani?!
Toka zako ww mwezi upungue kilo 5Mwezi sasa, ningekua nafanya zoezi kwa bidii ningepungua zaidi ya hapo ila nafanya mara chache.
Sasa kilo 4 si unauwezo was kuzikata kwa masaa tu....Kama wanavyofanya mabondia pindi wanapokutwa uzito umezidi siku ya pambano...[emoji23][emoji23]
Nilikua na 74 now nina 69, lengo nifike 65.
Nyingi au chache? inategemea unafanya diet ipi.Toka zako ww mwezi upungue kilo 5
Wanazikata kwa mazoezi? Kama ni mazoezi mi ni mvivu siyaweziSasa kilo 4 si unauwezo was kuzikata kwa masaa tu....Kama wanavyofanya mabondia pindi wanapokutwa uzito umezidi siku ya pambano...
Unavyopenda kula wwNyingi au chache? inategemea unafanya diet ipi.
Google ' eggs diet' ya ten days, Gm diet na oats diet ukizifanya kwa umakini zina matokeo mazurii
Hizo ndo kilo nying au we kafup[emoji23][emoji23]
Nilikua na 74 now nina 69, lengo nifike 65.
Ninavyochukia unene hamu kula inakata!Unavyopenda kula ww
Vitu gani umeacha kula?!Ninavyochukia unene hamu kula inakata!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kafupi, hapana sio mfupiHizo ndo kilo nying au we kafup
HiZo kilo ndo uzito wa kawaida au unataka wembamba wa Diana lukumay[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kafupi, hapana sio mfupi
Sili wali mweupe nakula brown rice mara chache sana ikitokea nimeutamani....ugali, soda, vyakula vya mafuta, sukari, nyama...hivyo vyote nimepumzikaVitu gani umeacha kula?!
MhSili wali mweupe nakula brown rice mara chache sana ikitokea nimeutamani....ugali, soda, vyakula vya mafuta, sukari, nyama...hivyo vyote nimepumzika
Nifike 65 mkuu zitatosha.HiZo kilo ndo uzito wa kawaida au unataka wembamba wa Diana lukumay