Namongeza Rais Samia kwa kuomboleza kifo cha Mwalimu kupitia Magufuli

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa.
Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote waliofuatia.

RiP Mwal. Julius Kambarage Nyerere

RiP Rais Benjamin Willium Mkapa

RiP Jembe Rais John Pombe Magufuli


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
mods naomba isomeke nampongeza badala ya namuongeza
 
Yaani nahisi wewe ni ndugu yangu kabisa unajua kuchspia kama mimi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😍
 
Huyo mungu wenu mnavyomnyenyekea, utadhani atafufuka,,Samia anajua kucheza na akili zenu nyie mazombi
 
Kumbe leo ndio ilikua Jiwe Day??

Nilikua na miezi mingi sijaisikia Chato kabisa ! Very likely ni Gbadolite ya siku zijazo
 
Watoto wetu wamechanganyikiwa hawaelewi wanaadhimisha kifo cha Nyerere au kilaza Jiwe!
 
Siku zote Mpuuzi humuelewa upesi sana Mpuuzi Nwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…