Nampa pole ndugu Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na rafiki yake Kipenzi Wicknell Chivayo

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.

Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.

Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana.

Ingawa binafsi nimepokea kifo hiki kwa bashasha, vifijo na nderemo, lakini sina budi kukupa pole ya KINAFIKI ndugu yangu Sa100.
 
Duuh hatari!
 
YBWYB!
1790831441899.png
 
Kwa niaba ya familia na wananchi wote wa Tanzania tunazipokea hizi salamu zako za pole kwa majonzi, heshima na unyenyekevu mkubwa. 🙏
Bwana ametoa jina lake lihimidiwe.
 
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.

Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.

Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana.

Ingawa binafsi nimepokea kifo hiki kwa bashasha, vifijo na nderemo, lakini sina budi kukupa pole ya KINAFIKI ndugu yangu Sa100.
Hapa ndiyo tutajua kutofautisha kifo,kilio na msiba.Kipi kinapaswa kuitwa KIFO.Wapi tuwekee KILIO.Na,upande upi kuwe na MSIBA tena mzito!
 
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.

Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.

Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana.

Ingawa binafsi nimepokea kifo hiki kwa bashasha, vifijo na nderemo, lakini sina budi kukupa pole ya KINAFIKI ndugu yangu Sa100.
 
Attachments

  • 20260930_221723.jpg
    20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 10
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 8
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.

Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.

Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana.

Ingawa binafsi nimepokea kifo hiki kwa bashasha, vifijo na nderemo, lakini sina budi kukupa pole ya KINAFIKI ndugu yangu Sa100.
Mafwele ameonekana jana akiwa na FURAHA tele ,you bella watch your posts. :02Hype:
 
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.

Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.

Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana.

Ingawa binafsi nimepokea kifo hiki kwa bashasha, vifijo na nderemo, lakini sina budi kukupa pole ya KINAFIKI ndugu yangu Sa100.
Sasa. Ndugu Boss la Dp,pamoja na kumiliki DP hivi sasa bado mawazo hasi juu ya hawa waliokupa hiyo nafasi?
 
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.

Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole.

Jana nayeye kafariki na mke na najua imekuuma sana
Ni msiba wa taifa
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
Back
Top Bottom