Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
 
mtaje wakulungwa wakusaidie
 
"Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa"




KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
age is just a number
Soma vizuri, Alichoandika mtoa mada 👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…