Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Unataka kuoa mke wa mtu? Jiangalie sana huko back.
 
Back
Top Bottom