Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Yaaap hapo kwenye kupania ndio haswaa,maana Kwa normal circumstances sio kweli🤣🤣🤣🤣 ..! Joannah usijaribu ukajichanganya kwa hao njemba. Hasa nafikiri AWE AMEJIANDAA,AMEKUPANGILIA. Mtu alijichanganya,akatema mapato yote, nafikiri kulikuwa na sababu fulani kabla. Jamaa ni kama lilimpania