Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Wee mfano akifuate wewe anajua Manzi mkali. Si tunaokujua ni dume tena mbavu. Chumba kitapakaa kisamvu[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaa, nimekua afande rama?
Mbavu cna, ngoja niende GYM nkatengeneze six pack
 
Utakuwa kama yule mzungu anafosi kupendwa mzee tafuta chaka lako atakutesa na atakufilisi haya mambo hayaendi hivyo [emoji16]
 
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Kaka umependa avatar yake au mm sielewi namna mambo yanaenda,maana hapa ndani hakuna jina halisi wala picha halisi.
 
Back
Top Bottom