Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Mnaji-commit wenyewe kwamba hela sio shida kwenu alafu mkipata vijambazi mnarudi tena mkiwa mmescreenshot message za vizinga huku mkilalamika, Sasahivi tunawapiga vidole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaah wee.
 
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Ukite una hisia na id ya kike kumbe mwenye nayo ni dume jitafakari sana
 
Back
Top Bottom