Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Aliye Andika uzi huu bado ndio una balehe hivyo anakuwa na hisia kwa mtu asiye mjua au kwa jina lake tu anapata hisia ...Niamini mm bado umri wako ni mdogo Sana au Akili haijakomaa.
Yaani kijana alitoka balehe hata akiona qupi ya ya mwanamke dukan alafu iwe nyekundu kuna uwezekano mkubwa network ikapanda fasta😄
Akili ipo na hisia nyingi kuliko reality
 
Hayana formula mkuu usikariri
 
Kuna ishu inaitwa instinct mkuu
Instinct,automatic behaviors that animals, including humans, are born with, helping them respond to their environment.

Kivp mkuu mbona kama dada kakuepuka kama ukoma😅
 
Back
Top Bottom