Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Ndo nishapenda sasa
 
Utakuwa kama yule mzungu anafosi kupendwa mzee tafuta chaka lako atakutesa na atakufilisi haya mambo hayaendi hivyo [emoji16]
Mimi ni mtu ambaye sifirisiki mkuu pesa ni nyingi mno na ni za vizazi na vizazi.
 
Mnaji-commit wenyewe kwamba hela sio shida kwenu alafu mkipata vijambazi mnarudi tena mkiwa mmescreenshot message za vizinga huku mkilalamika, Sasahivi tunawapiga vidole.
Amini mkuu Kuna watu ambao pesa kwetu ni kitu kidogo
 
Dada kaza hivyo hivyo ukimkubalia tuu mkija kuachana uwe na uhakika wa kuja kuanikwa humu mpaka alama uliyo nayo mwilini mwako Jf woote tutaijuaa

Shikilia hapo hapo Dadaaa..
Acha roho mbaya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…