Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri


Kuna uhusiano gani kunuka K na kuwa na mikucha mirefu? ?? Au hawajisafishi kwa kuogopa kujichubua na kucha, ,?halafu wanawake wazuri wote ndio wanuka uch.I me nafikiri na kutiwatiwa ovyo inachangia pia wakuu,,,wanawake wazuri huwa wanagongwa sana,,maana wanatongozwa mno na wanashindwa kuruka viunzi vya wanaume wakware
 
Si lazma umgonge tena msaidie kuondoa tatizo kisha endelea na maisha yako. Hayo matatizo kwa wanawake yapo. N pm tuongee zaidi.
 
acha ushamba. kama mchepuko uache. mwenzio nilishawahi kuwa na mchepuko huo, ni mdada mweupe mzuri kama mhindi, alikuwa mchaga...wakati tunafanya nikaona mdudu wangu yote anatoa maji meupe, nikajua ni ile maji mdada akisuguliwa sana anatoa, kuja kugundua baadaye, alikuwa na fungus sugu amejaribu dawa zote zimedunda na zimeenda hadi kwenye figo, ajabu yake, nilikuwa naingia na chumvini jinsi dada mwenyewe alivyo mzuri.
 
Endelea na mkeo
 
Nilishawahi kuishi kwenye nyumba flani hiv ya kupanga baade kdogo kuna jamaa ambaye alikuwa mpangaji mwenzangu alioa Shori mmoja mkali hatari... Kilichotokea ni kwamba yule Dada akiingia bafuni kuoga harufu atakayoiacha huko bafuni haielezeki,namshukur Mungu baade jamaa alimuuguza na akawa poa na hata akiingia bafuni harufu haisikiki so,nakushaur umpeleke kwa Wataalam wa magonjwa ya akinamama na atakuwa vzur na hata akiolewa bado utakuwa umeacha kumbukumbu kwenye maisha yake na kamwe usilikimbie tatzo
 
Reactions: SDG
Mkuu....umepita mulemuleeee....demu akiwa na kucha hata awe mzuri vip ndio simtaki hata anilipe pesa.
niliwahi kuwa na mchepuko mkali balaa...ila harufu ilinishinda nikasanda gemu.
Hiyo harufu wenyewe hawaihisi?
 
Uko sahihi kabisa, ila ninahofia nitamuingiaje. Nahofu atajisikia vibaya mnoo na possibly self esteem yake itakuwa seriously affected.
Unahis yeye hajui kama anatoa harufu?
 
Ana magonjwa ya zinaa.Hima mpeleke zahanati iliyo karibu na wewe apate tiba.
 
Reactions: SDG
Dah hilo ni Janga usiombe ukutane nalo
 
Reactions: SDG
Mshauri akazane kula mananasi na maziwa mtindi husaidia kupunguza harufu ya papuchi
 
Reactions: SDG

Hapo kwenye red una ushahidi wa kisayansi?Bas tungekua tunapata report za wanawake wanaojiuza kunuka sana.

Kwenye blue sababu kubwa ni hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…