Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

Najipanga nimuambie, ila nataka nikutane nae live, maana tangia tumemwagana sijawahi kuonana nae live. Ila inaonekana ametendwa tendwa sana, huwa naonaga status zake whatsapp. Nina hakika, hilo tatizo likiisha, hamalizi mwaka keshaolewa.
 
Inawezekana ni fungus (candidiasis),halafu aache vaginal douching. Mshauri aende kwa daktari wa magonjwa ya wanawake.
 
Uo ni ugonjwa so kama u didn't use a condom its better ukapimeeeee
 
Mkuu....umepita mulemuleeee....demu akiwa na kucha hata awe mzuri vip ndio simtaki hata anilipe pesa.
niliwahi kuwa na mchepuko mkali balaa...ila harufu ilinishinda nikasanda gemu.
Kwani akiwa na kucha inahusiana vp na kunuka k?
 
Najipanga nimuambie, ila nataka nikutane nae live, maana tangia tumemwagana sijawahi kuonana nae live. Ila inaonekana ametendwa tendwa sana, huwa naonaga status zake whatsapp. Nina hakika, hilo tatizo likiisha, hamalizi mwaka keshaolewa.
Kweli msaidie tu
 
Mkuu asikwambie mtu,kudumu na mwanamke anayenuka K inahitaji moyo wa ziada sana,halafu kumwambia kitu kama hicho ni vigumu sana..hata mimi ilinipata kama wewe hivo,ila kila nikikumbuka kile kijiharufu nakuwa simtaki kabisa.na ameshabreak up na relationship kama tatu hadi sasa,najua anaachwa kwa sababu hiyo tu na wala si kingine
 
Yaan wee cjui una matatizo gan! Mke unayo bado unahangaika na uvundo polee
 
Hapa naona umekosea, si umwambie atulie na mke wake.
 
Muambie kwa utaratibu. Msifie wema wake, tabia njema na roho nzuri. Halafu muambie mamii kuna tatizo natamani tusaidiane tuhakikishe linamalizika. Muende kwa Dr wa kawaida tu atashauri baada ya kumuuliza maswali. Halafu hakikisha unamkumbusha na kumtia moyo.

Halafu umuache akishaacha kunuka. My fifty cents is, anajiswafi kwa kujiingiza vidole (douching) na hii inamsababisha anajipa bacterial infections Kila mara. Ila acha jibu likatoke kwa dr
 
Weeh, hebu tutake radhi. Wanawake wananukia. No aroma Ile, sweet like brewed ground coffee[emoji4]
Endelea nae tu mbona kawaida hiyo..!

Kibaiolojia karibu wanawake wote huwa wananuka K.

Kwa hiyo kitendo cha wewe kumkataa kisa ananuka K, ni sawa na kuukata uanamke wake.
 
Mwambie anywe maji mengi pia , yanasaidia kuondoa harufu mwilini.discharges mf.Jasho na zile zinazotoka ukeni zinakuwa na harufu kali kwa mtu ambaye hanywi maji ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…