Nampenda binti wa chumba cha jirani

Nampenda binti wa chumba cha jirani

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
214
Reaction score
358
Wakuu nimwambie au nimyuti tu nisije nikalizua, kuna mtoto wa kike chumba Jirani na Mimi namzimikia kinoma naogopa kufikisha ujumbe kwakua ni nyumba moja na wife asije akajua ukawa ugomvi.

Au mfano akinichomolea itakuaje naombeni ushauri nife na tai shingoni au nijilipue kiunaume tu.
 
we ni baharia au mvuvi?
 
Hakika CCM itaendelea kutawala milele...
 
Binti wa chumba cha jirani😁😁😁
316520.jpg
 
Back
Top Bottom