Nampenda binti wa chumba cha jirani

Peleka mada yako kwenye ule uzi pendwa wa rickboy kula tunda kimasihala
Kule kunwazinzi walio kubuhu watakupa mbinu za kivita na utashinda vita yako
 
JILIPUE
 
Achana na hayo mambo, fanya mambo mengine...
 
Usijaribu utachomoa betri mkuu,kama unataka kweli Anza kumlainisha Kwa vizawadi aingie kingi mwenyewe lasivyo ukimtokea asipokuelewa jua wife anapata info.
 
Hapo mbn simple tu uyo una mlaa ata bila kumtongoza wewe anza na salam zile ndefu make sure anachekq cheka maliza wiki unampata
 
Mgeuze rafiki yako

Mimi nimemwelewa shemeji yangu ila kutokana na imani yetu hairuhusiwi kuwa naye kimahusiano ya kimapenzi ila nimeamua kumfanya rafiki yangu tu maana tunaelewana mno
 
Na huyo jirani kisha mzimikia waif hapo, nae ana changamoto kama yako.
 
Mpe mkeo heshima anayostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew mpaka apo umelifanyia nini taifa usikute mwaka wa 3 watembeza vyeti tu kuomba kazi
Hahaha wewe akili yako bado ndogo sana, unaamini sana kufanikiwa kupitia vyeti Master. Nina zaidi ya miaka 10 vyeti vipo kabatini nilishasahau kama niliwahi kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…