Nimekuelewa nduguSasa unataka kuoa sababu ya hali ya kwao ya kiuchumi? Umempendea pesa aisee🤔nashauri muoe mtu ambaye unampenda/mnapendana kama ni pesa mtatafuta za kwenu hata ukifa watoto wataishi na mama yao na pesa mlizotafuta. Usijilazimishe kwa mtu unayehisi humpendi, ndoa ni kifungo cha maisha kile usijekujuta bure.
Tena asilimia kubwa wanavumilia yote na hata hizo Hela hakuna !!Kama wanawake....
Wanavumilia....
1. Kuparamiwa tu bila kupata utamu wotewote kitandani
2. Kupigwa kila siku.
3. Kunyanyaswa
4. Na mengine mengii
Kwasababu ya HELA.
Wewe ni nani hata usivumilie.
#YNWA
Pole Sana mkuu,Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.
Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.
Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.
Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.
Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Umemaliza kila kitu, Kama Ni kuelewa Atakuwa ameelewa.Kama utamuoa kwasababu watoto wataishi kwenye good life ukifa sawa, nina uhakika utakufa mapema zaidi kwa tabia za huyo mwanamke...hakuna mwanaume rijali ambaye atakubali dharau,kejeli,kebehi,utovu wa nidhamu kwa mke wake hakuna na kama wapo ndio hawa marioo wa mjini, Sasa kwakuwa naww utaenda kuwa marioo basi kifo kitakuwa karibu nawe maana sononi zote zitakuwa zako..
Komaa kama mwanaume na ulichonacho hata kama kiduchu,.maana heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
Full kuteleza🤣🤣🤣Ganda la ndizi aka kitonga....kila la kheri na tamaa yko.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Pole Sana Kaka angu nataka nikufahamishe kwamba mapenzi ya dhati so uchumi,cheo Wala vitu Bali Ni upendo watoto hawatapata Shida ndio lakini watakosa malezi ya upande mmoja ambayo yanaweza kusababishwa kwa kuachana Jambo Hilo litawapatia Shida Sana watoto nakuanza kujilaumu nakukosa misingi Bora ya malezi ndipo tunapata watt kwao Ni matajili lakin wavuta bangi na wanajiuza pia Ivo basi angalia vzr mazr na mabaya ya mke wako ndipo uamue ufanye Nini kwakuzingatia amani ya moyo na watoto mtakao zaa AsanteHabari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.
Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.
Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.
Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.
Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Wonders shall never end unanchesesha haswa unatafuta mke au urahisi wa maisha? Na hapo uliposema kuwa unamishe zako zonakuweka mjini LOL una elements za umarioooHabari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.
Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.
Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.
Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo naye.
Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Fata kile ambacho moyo wako unakwambia cos ndo ukweli,kama unataka uoe ili watoto waishi vzr pindi ukifa upo sahihi ila fikiria kipindi utachokuwa hai,nyumba yako utaiona kama kuzimu ya duniani.....Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.