witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
We jamaaa ni marioo wa dunia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu mimi kitu kinacho niendesha nadhani ni iki, uyu binti ni kiburi, jeuri, na mtu mwenye dharau mnoo mnoo tena mnoo, ila uyu binti kwake ni vitu viwili tu nilivyo vipenda, akili za darasani (ana upeo mkubwa sana darasani, na wanasema mtoto akili anafata 75% kwa mama), pili kwao maisha ni mazuri mnoo, nilichokuwa napata msukumo ni kunizalia watoto amabao watakuwa na upeo mkubwa class, na pili ata nikifa watoto bado watakuwa kwenye maisha ya hauweni, nasema ivi kwa kuwa mimi nimetoka kwenye familia choka mbaya vibaya mnooo, kula kwa tabu kuvaa kwa tabu nyumba ya nyasi.
Nina uhakika we ni mgogo
Mwanaume gani anapenda mtelezo hivo? Hata Capten wa lady jaydee ana unafuu asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakupa miezi sita utatolewa usipobadilika