Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

KUla tu kizenji huku ukichukua mtaji hao hawaoleki hao wanadhani hela ndio kila kitu na sijawahi kuona hao wanaojiita familia bora wakaolewa na kudumu kwenye ndoa believe me , utakuja kunishukuru baadae , tafuta katoto freshi auswazi chenye mapenzi ya kweli huo mzigo uwe wa kuchuna tu period.
 
OK
 
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.

Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.

Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.

Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo nae.

Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
muoe, then atabadilika tu, huenda unayo yaona ni stress za kukosa dushe.
 
nimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
Hata kama haupo...msingi utakaojenga wewe kama wewe katika maisha yako na wanao ukawa msingi mzuri na imara watoto hawatoweza kutetereka,kwani utakua mfano wa kuigwa kwao.
 
mkuu mimi kitu kinacho niendesha nadhani ni iki, uyu binti ni kiburi, jeuri, na mtu mwenye dharau mnoo mnoo tena mnoo, ila uyu binti kwake ni vitu viwili tu nilivyo vipenda, akili za darasani (ana upeo mkubwa sana darasani, na wanasema mtoto akili anafata 75% kwa mama), pili kwao maisha ni mazuri mnoo, nilichokuwa napata msukumo ni kunizalia watoto amabao watakuwa na upeo mkubwa class, na pili ata nikifa watoto bado watakuwa kwenye maisha ya hauweni, nasema ivi kwa kuwa mimi nimetoka kwenye familia choka mbaya vibaya mnooo, kula kwa tabu kuvaa kwa tabu nyumba ya nyasi.
 
sawa,anaakili na watoto hurithi asilimia 75 jeh vipi kiburi,jeuri,dharau usisahau pia watoto watarithi pia, sijaona mantik ya maana sana hapo kwani wapo watoto wametoka kwenye umaskini mkubwa na baadae wakawa matajiri mnoo.Sikuzote mafanikio huja kwa kujituma na kama ni akili/uwezo mzuri sikuzote hujengwa tangu mwanzo hivyo bado unayo nafasi ya kutengeneza life hata baadae kuwajenga wanao katika njia bora na wakafanikiwa tu! na yote hayo yatatimia kwa uzuri utakapo pata mke mzuri mwenye heshima na hekima kwako... tunashuhudia mengi katika jamii wanaume wakinyanyaswa na wanawake zao kwakua wanawake wako juu kwa kila kitu,je wewe kama baba hapo baadae usipopata furaha ndani ya nyumba yako ayo malez mazuri kwa watoto yatatoka wapi?
MLEE MTOTO KATIKA NJIA IMPASAYO NAYE HATOIACHA HATA ATAKAPOKUA MZEE bado unamda wakuijenga familia unayoitaka.Hatma ya familia yako ipo kichwani mwako choose wisely
 
mkuu mimi kitu kinacho niendesha nadhani ni iki, uyu binti ni kiburi, jeuri, na mtu mwenye dharau mnoo mnoo tena mnoo, ila uyu binti kwake ni vitu viwili tu nilivyo vipenda, akili za darasani (ana upeo mkubwa sana darasani, na wanasema mtoto akili anafata 75% kwa mama), pili kwao maisha ni mazuri mnoo, nilichokuwa napata msukumo ni kunizalia watoto amabao watakuwa na upeo mkubwa class, na pili ata nikifa watoto bado watakuwa kwenye maisha ya hauweni, nasema ivi kwa kuwa mimi nimetoka kwenye familia choka mbaya vibaya mnooo, kula kwa tabu kuvaa kwa tabu nyumba ya nyasi.
Acha ujinga nasema tena acha ujinga
Nan alikuambia akili zinapimwa darasan??
Unamjua yule mtoto wa morogoro anaye fanya hesabu kwa kichwa tuu je mama yake amesoma wap??
Mwendazake mama yake amesoma wapi??
Nyerere mama yake amesoma wap??
Acha upumbavu dogo
 
natamani aliielewe hili kwa upana
 
Acha ujinga nasema tena acha ujinga
Nan alikuambia akili zinapimwa darasan??
Unamjua yule mtoto wa morogoro anaye fanya hesabu kwa kichwa tuu je mama yake amesoma wap??
Mwendazake mama yake amesoma wapi??
Nyerere mama yake amesoma wap??
Acha upumbavu dogo
Duh
 
Mwanamke anakuleteaje dharau, huyo mwanamke ashakupima sana na ashajua udhaifu wako uko wapi ,km kukupenda anakupenda sana tu maana angekuwa hakupend angekupiga chini kitambo sana maana hakuna unachomzid hasa kwenye pesa ,unachomzid tu unampa penz tamu ndio maana Bado Yuko na wewe .

Dawa ni moja tu ya kumfanya huyo mwanamke akuheshimu na kukuogopa. Anza kumnyima attention yaan punguza shobo kwake , punguza mawasiliano ,usimtafute had akutafute yeye asipokutafuta na wewe kausha jumla ,na akikutafuta akianza lawama kuwa mbona humchek mpe majibu simple tu na usijiroge kuanza kujieleza sana kwake.
Anza kuangalia plan B ,Mara nyingi ukiwekeza kwa mwanamke mmoja hiyo hali lazima ikutese sana maana unakuwa unamuwaza yeye tu lakin amin nakwambia Kuna pisi kali kinoma zinazotoka maisha ya kawaida jipatie moja au mbil zinakutasaidia kumfanya huyo wa kishua umuone wa kawaida sana tena sana .
Huyo wa kishua anakupenda ila wewe una pigo za kujirahisisha kwake ,wanawake wanapenda wanaume wasiotabirika muda wowote yaan leo upo romantic kesho cool sana huna habar nae ,pia punguza vibomu kwake ,hata ukifulia vipi usimweleze yeye shida zako pambana kwingine
 
noma sana mkuu, nimekuelewa
 
Back
Top Bottom