wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Acha upumbavu wakonimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upumbavu wakonimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
Wazee wa fursaSijaona neno kwamba unampenda, kumbee uko nae kimaslahi sio?
Naye atakufaMbona unatanguliza kufariki? Una matatizo gani? Je akifa yy akakuachia hao madogo?[emoji848]
Akili za vijana wa Diploma CbeHabari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.
Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.
Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.
Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo nae.
Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Alie kuambia unafariki nani.....?nataka kuoa, ila pia naagalia kama nikifariki watoto wangu watabaki kwenye hali gani ya kimaisha
Unafikra za kitoto sana, kumbuka kama mwanamke atakudharua sana kisa anajua hauna kitu bas kuna uwezekano mkubwa wa kwao na watoto wenu nao wakakudharua zaid yake.atabaki bibi yake na babu upande wa mama, bado atasoma na kuishi kuzuri
Kamwe usiishi kwa kumtegemea mwanamke mwenye pesa. Unaweza ukamuoa na ndoa ikavunjika hata kabla ya kupata hao watoto unaotegenea kufa umuachie.nimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
Mkuu mbona unawaza kufa kufa,vip akitangulia yye utaoa mwingine au utalea wanao kwa kutegemea utapata msaada upande wa pilinimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
duh aiseeeWanaomtaja Mungu kwenye hili wanakupotosha. Umempenda mwenyewe, unayaona anayokuonyesha kabla hamjaenda hata fungate hivyo ni akili mkichwa.
Love is blind ila baadaye utasema I wish i followed the advises I got from JF. Aisifiye mvua imemnyea. Moyo waweza kukupeleka kwenye kisu cha mchinjaji ukidhani anakujaribu, kumbe ndo bye.
sawa mkuuMkuu mbona unawaza kufa kufa,vip akitangulia yye utaoa mwingine au utalea wanao kwa kutegemea utapata msaada upande wa pili
Niskilize
Pambana
Pambana sana
Pambana zaidi
Pambana na usikate tamaa
Pambana kwa ajili ya future ya watoto wako, sahau kuhusu kusapotiwa
mkuu nilikuwa najaribu kuunganisha dot tu kama, nikasema nikioa uyu ingawaje sio wife material na mwenye tabia mbaya uenda asiwe ivyo kwa watoto na watoto wakapata support ya kutoka upande wa mke wangu uyu amabaye kwao kipato ni kikubwa mnoooooooooooooooooUnafikra za kitoto sana, kumbuka kama mwanamke atakudharua sana kisa anajua hauna kitu bas kuna uwezekano mkubwa wa kwao na watoto wenu nao wakakudharua zaid yake.
Pili kumbuka connection ya ujombani huwa ni Mama sasa hayupo tegemea kwa asilimia kubwa msaada wao nao kupotea au wewe kuja kunywang'anywa hao watoto maana wameisha kujua kuwa ww ni dhaifu.
Tumia akili kufikiri, pesa ni muhimu na unayo tayari, bas usijiangaishe kutafta maisha mazur kwa wanao kwa njia isiyo sahih ukasahau malezi yao.
Unaoa kwa ajili yetu au yako?Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.
Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha familia yangu kiuchumi kwa asilimia kama 75%.
Nina kazi yangu na nina shughuli zangu zingine za kunifanya niishi mjini bila shida yeyote ile lakini kuna muda wazo kichwani linaniambia kwamba, nimuoe huyu huyu nimzalishe pia nikiwa na uhakika wa asilimia 100% watoto wataishi kwenye good-life hata kama ikitokea mungu amenichukua.
Nikiwa nawaza hivyo roho yangu inashindwa kunifanya nimuache huyu binti, ila ni binti mwenye kiburi, jeuri, dharau na mambo mengine mengi tu ila ndio nipo nae.
Naombeni ushauri wenu wa dhati ndugu zangu, ili nichukue maamuzi sahihi kabisa.
Ndoa haijaribiwi, its once and for all!Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani.