Nampenda Evelyn Salt

Mkuu kwani ulisha wahi kutatua?
Maana wahenga wanasema asifiaye mvua imenyea
Unafahamu wimbo wa usichezee chatu ( ), ukimtamani Evelyn Salt au Madame B , hao walimu ni sawa na kuchezea chatu, marinda ndiyo bye bye. Sasa swali, je bado marinda unayapenda au huoni shida kuyaweka rehani!
 
Mimi ni kaka yake,hawezi kujiozesha mwenyewe! Jibu maswali ya shemeji !
Uzuri Evelyn salt mwenyewe anajua kama nampenda ila kuna watu wanampenda wameshindwa kujieleza sasa wananiwekea mikwara mm mhenga bwana sitishiwi nyau.[emoji13] [emoji12] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…