Nampenda Evelyn Salt

Sasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamke
Mkuu Evelyn salt usiumize kichwa bure ukiona mti ndege wengi wanatua jua unaliwa huo ww ni mtu ya nguvu ndiyo maana watu wanashindwa kuvumilia mapovu yanawatoka ila sisi wahenga hatuna shidi niachieni Evelyn wangu jamani kwani mlikuwa wapi mda wote huo mpaka nilipoomba mm?
 
Hujui hawa walimu ni watani zangu? Hasa anayesubiri kijacho (ati moyo wako umemdondokea). Mwanaume ni afadhali afe kuliko kufumuliwa marinda. Isipokuwa kama ni kutibiwa ugonjwa kama hemicolectomy, Hemorrhoidectomy au Kupima BPH
Nitajuaje na sina shida kujua habari zako ninayehitaji kumjua ni Evelyn si ww
 
Halafu huo umbea wako siupendi (serious)
Baby hayo maneno wala usiyajali wambea wa mjini hajaulizwa kaisha sema hii ndiyo ile tabia ya kuwashwa washwa.[emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji16]
 
Nimemuuliza hivyo Nina maana kwamba.
Picha sio yako. Jina sio lako. Sasa amekupendea nini
Jina au hyo picha ambayo sio wewe. Hyo ndo maana yangu.
We ulitaka ni kupende ww watu wako pm tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…