Nampenda Fatma Shimweta

Nampenda Fatma Shimweta

Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu

dah,,kumbe braza yahaya alikua anapumzika pale dah..respect zake
 
inasemekana kwa sasa anatoka na mtu flani mkubwa pale sahara media so tafuta tu kafatuma shemweta ka hapo kitaani kwenu
 
ana mdogo wake anaitwa husna ni hatari fatma hagusi hata kidogo ni majirani zangu kama nyumba mbili kutoka kwangu
 
Back
Top Bottom