It is very strange! Heaven on desert utampendaje mtu hujawahi hata kumwona?hatujawahi kuonana!!!!!
Kaizer umeona.......,
Jaman mapenz yanaamtatiza ee! Jaman mapenzi yanaa mtatiza eee! Kulala hawezi,kusoma haawezii,chakula hataki akiona chuungu! Teh! Heaven ..! Mwenzako kakudondokea!
nimeendelea kutega sikio! nikisubiri majibu! cc Toriawe niambie kama umeshamkubali aje..kuhusu mimi nitajieleza baadae...
Hivi mtu kuwa handsome halafu kichwani unakuwa empty au uwe ugly alafu kichwani uwe safi ipi bora?
na mie nimeona kuna moyo wa mtu umenidondokea!!!!!