Nampenda heaven on earth

Nampenda heaven on earth

Mbona nimemtuma njiwa kuleta majibu superdia,hujayapata?

haaai mie! nimestuka paaaaaaa! majibu ya njiwa lazima yatakuwa ni majibu mazuri sana! cc kiwatengu! jamani moyo wangu mie! rrrrhhhhhh rrrrhhhh rrrrhhhh nalia kwa furaha hapa la-azizi wangu Toria!
 
Last edited by a moderator:
We tatizo unajishitukia kwani hat ukimpenda kimapenzi ni dhambi? au nimke wa mtu ni haki yako kujieleza,nayeye akikupenda mnakaa chini mnazungumza kwani mungu kuumba mwanume na mwanamke kusudi lake ni nin.
Ikumbukwe hili ni jukwaa la manbo haya mapenzi urafiki na vitu kama hivyo .
 
Unampenda kweni umeshawahi kukutana naye? Au umependa avatar yake?
 
Back
Top Bottom