Nampenda house girl kuliko nimempandavyo mke wangu.

Mie nimekuja huku fasta nikitaka kukuuliza Bujibuji ni aje? Kumbe si wewe lol!

 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaahah! mimi nilidhani buji buji maji yamezidi unga, kumbe si wewe, umenifanya nifungue hii thread upesi .Loh! umenipatia kweli.
 
kuna wapenzi/wake/waume wengine hata hawafahamu kama kuna kitu kinaitwa JF.....
Rich woman KWA HIYO HUWA WANAELEWA NINI WABUNGE NA VIONGOZI WA CCM WAKIWA WANALALAMIKA KUWA ADUI WA CHAMA NI JF? Au wanadhani Jamii Forums ni timu ya mpira wa miguu?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuficha ID kwa mkeo nadhani ni tatizo zaidi. Kwanini kujificha?


....wafikiri kwanini twatumia vivuli hapa..??

mke/mpenzi wangu hastahili fahamu kivuli changu na mie sistahili fahamu chake.. kwani twahitaji kuwa wazi hapa..
 
Mbona bujibuji mkeo anaijua id yako ?au ujui kama mkeo anatumia id ya lara 1?
 
Rich woman KWA HIYO HUWA WANAELEWA NINI WABUNGE NA VIONGOZI WA CCM WAKIWA WANALALAMIKA KUWA ADUI WA CHAMA NI JF? Au wanadhani Jamii Forums ni timu ya mpira wa miguu?
tena siasa wengine ndo hata hawafuatilii ht kura hawajawahi kupiga kwahiyo si ajabu kukuta mke/mume/mpenzi wa mtu hajawahi hata kukaa chini kusikiliza wabunge huwa wanasema nini huko bungeni wengine hata magazeti hawasomi na kama akisoma ni yale magazeti pendwa wapo wababa watu wazima wao wakisimama kwa vending stall wananunua gazeti pendwa sasa saa ngapi atafahamu kama wabunge wanasema hizo mambo....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…