Nampenda house girl kuliko nimempandavyo mke wangu.

Nampenda house girl kuliko nimempandavyo mke wangu.

kwa hiyo huu uzi umemwekea mwaJ ili ajue ulivyo na mapenzi na beki tatu au.

Mtu unaanzisha thread ina kichwa cha ajabu namna hiyo, je mkeo akiiona itakuwaje??
Ndoa yako ikiyumba ama kuvunjika kabisa alaumiwe nani?
Tuanzishapo uzi tuwe naangalia na madhara kando yake
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo huu uzi umemwekea mwaJ ili ajue ulivyo na mapenzi na beki tatu au.
... Bujibuji kama jina lake lilivo ..maana yake ni UJIUJI... ukiparamia uzi zake unateleza....kama hajielewielewi ivi...!!
 
Last edited by a moderator:
sawa na kumweleza hawara yako mapungufu ya mkeo ni umbulula.!!

Unakuta dume zima linamnanga mkewe kwa hawara tena vitu vya aibu!!!

Wewe kwa huyo hawara si umefata ile makitu tu sasa habari ya mkeo inahusu?

Unakuta jitu likiona call kutoka kwa wife alafu lipo na hawara lina maindi live na matusi juu hadi hawara anastukia!

Go east go west wife wako wa ndoa atabaki kuwa ubavu wako huko kwingine mihemuko tu na pesa kuwasha kunako waleti!
 
Khaaa kati ya maajabu saba lazima hili liwe la nane...
 
data vp kumpa password?
Nasikia Madame B ana password ya Ben Saanane lakini Ben Saanane hana password ya Madame B.
Mi huwa ananifurahisha sana Paloma.
Akiwa na sosoliso anakuwa kama hanijui vile, hata sosoliso akitufuma tunabanjuka, anadanganywa eti ni animation. Baba V naomba usivujishe siri hii

Kupenda kubaya ,we acha tu, Chimbuvu alimfuma Madame B anabanjuka na Shark, Madame B akamwambia Chimbuvu kuwa ilikuwa ni siku ya wajinga duniani so walikuwa hawafanyi kweli na Chimbuvu akaelewa somo....
 
Last edited by a moderator:
Nikuambie Ki2, Mtafutie Mkewe Kisa Upate Kumfukuza Umchukuwe Beki Tatu, Ama Kama Wewe Msilam Ongeza Jiko Ruksa. Usisononeke
 
Last edited by a moderator:
Huyo hata aanzishe uzi wenye kusema chochote wala hakuna atakae ujali maana huyo ni baba kupenda penda!

mwaJ una janaba kwenye ubongo. umefanya nicheke kwa sauti hadi .jirani yangu akajamba kwa mshituko
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom