Mtu unaanzisha thread ina kichwa cha ajabu namna hiyo, je mkeo akiiona itakuwaje??
Ndoa yako ikiyumba ama kuvunjika kabisa alaumiwe nani?
Tuanzishapo uzi tuwe naangalia na madhara kando yake
sawa na kumweleza hawara yako mapungufu ya mkeo ni umbulula.!!..kumruhusu mpenzi/mkeo kufaham ID yako ni ubwege..
sawa na kumweleza hawara yako mapungufu ya mkeo ni umbulula.!!
data vp kumpa password?
Nasikia Madame B ana password ya Ben Saanane lakini Ben Saanane hana password ya Madame B.
Mi huwa ananifurahisha sana Paloma.
Akiwa na sosoliso anakuwa kama hanijui vile, hata sosoliso akitufuma tunabanjuka, anadanganywa eti ni animation. Baba V naomba usivujishe siri hii
Kuficha ID kwa mkeo nadhani ni tatizo zaidi. Kwanini kujificha?
kuna wapenzi/wake/waume wengine hata hawafahamu kama kuna kitu kinaitwa JF.....
sosoliso usitake kujua. Kwanza unamfahamu Mwita Maranya?Duuh..! Wewe Bujibuji hilo janaba la kwenye ubongo ndo likoje..? Mweeeh..