Nampenda huyu memba

Kwamba???, ila hii nchi ngumu sana😂😂😂😂🤒.. Lamomy Njoo kwanza jirani
 
Ndio ukubwa huo, jinsi umri unavyoenda utazidi kuona kizazi kipya kimekosa maadili ,hizi ndio dalili kuu za kuzeeka mkuu.
Yeah ni kweli, kuna baadhi ya mambo unaanza kuyaona hayana maana
 
Usikute namimi nampenda Lamomy sema naogopa kumwambia.
 
Hii nchi ina Vijana wapumbavu sana,yaani unamtaka mwanamke na bado unamwandikia kwa mafumbo?

Kwanini usimtag hapa ili ajue anapendwa?,Wakati wewe unaendelea kusitasita,wenzio wanamsukumia mianzi ya kutosha!
Id yngu ina ban nkifunguliwa ntamuandikia uzi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…